Nahitaji maelezo nimeota mbuzi anazaa 3 na mbuzi wakubwa wakawavamia na kuwala nikajaribu kuwatetea lakini sikuweza nikawa busy kwa sababu ya mwingine aliyezaliwa sawa. muda, na nikajishughulisha kumtetea